Friday, December 27, 2013

Sisi wakerewe blog ya kijamii

Sisi wakerewe blog ya kijamii inadumisha na kuhifadhi utamaduni wa wakerewe. Unaweza kuwa miongoni mwa watu muhimu wanao dumisha utamaduni wa wakerewe kwa kuchangia maada mbalimbali za kweli zinazowahusu wakerewe

Makabila yote yanakutana hapa chini